.𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰
“Malengo yetu kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu ni tufike tena Hatua ya Robo Fainali. Lakini kwenye maisha M/Mungu hutoa zawadi, tukipata zawadi ya kufika Fainali na kuchukua Ubingwa basi tutashukuru. Target yetu ni Robo Fainali na tutapambana kufanikisha hilo,” Eng Hersi Said

.𝐄𝐱𝐥𝐮𝐬𝐢𝐯𝐞 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐯𝐢𝐞𝐰🔰