Mashine ya kazi Leonel Ateba Kuanza kazi rasmi Msimbazi..!! Mshambuliaji mpya wa Simba, Leonel Ateba sasa ruska kuitumikia klabu yetu katika michezo ya Ligi Kuu baada ya kukamilika kwa vibali vya kazi pamoja na ITC yake kuwasili.
“Tumekamilisha taratibu zote za vibali, Ateba sasa ruksa kucheza ligi, hata tukipangiwa mechi leo mshambuliaji huyo yupo tayari kucheza, ni mipango ya kocha Fadlu tu kumtumia,”
amesema Ahmed. Mchezo ujao ni dhidi ya Fountain pale pale uwanjambo Kmc

1 Comments
·162 Views