SIMBASC YAPATA PIGO JISHUA MUTALE NJE WIKI MBILI
Daktari wa Simba, Edwin Kagabo amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kuuguza majeraha.
.
Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC Agosti 18.
.
Dkt. Kagabo amesema Mutale hajapata majeraha makubwa lakini ili kumlinda asiumie zaidi atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo.

Daktari wa Simba, Edwin Kagabo amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale πΏπ² atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kuuguza majeraha.
.
Mutale alipata maumivu ya nyama za paja katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tabora United uliopigwa katika Uwanja wa KMC Agosti 18.
.
Dkt. Kagabo amesema Mutale hajapata majeraha makubwa lakini ili kumlinda asiumie zaidi atakuwa nje ya uwanja kwa muda huo.
1 Comments
Β·235 Views