.NANI ALIYEMLETA MZIZE YANGA?

Watu wengi wamekuwa na swali la nani Aliyemleta clement mzinze katika familia ya Yanga, Apa unamzungumzia mchezaji kinda anayeumiza vichwa vya club nyingi Barani Africa na ulaya vikitaka kufanya kazi nayeye baada yakuona Ana kitu ktk miguu yake

Dr Mshindo Msola Alitembelea Tawi la yanga KILOLO Iringa na vijana kutoka Tawi ilo walipiga magoti nakumuomba dr msolwa Aondoke na clement mzinze wakiamin Dogo Anaubonda sana but Ana conection pale kilolo hivyo kutoboa ni ngumu, ,

Dr msola Alikubali nakufanya Taratibu mzinze alipanda gali hadi jangwani na Baadae akapelekwa yanga B aliupiga mwingi kiasi chakumshtua mwinyi zahera, Ambaye Alibahatika kumuona live clement mzinze akicheza mpira ndani ya Yanga B, Mwinyi zahera Aliuomba uongozi wa Yanga umpige mkopo katika timu ya ligi kuu clement mzinze ili Aweze kuimalika zaidi,hali hii iliushtua uongozi wa Yanga Nakuanza kufatilia mazoezi ya Yanga B, kuna mtu maalum Alitumwa kufatilia kwaumakin, Ripoti ya mzinze iliposomwa na jopo la wataalamu ndani ya Yanga Africa, jibu likawa moja Mzinze asipigwe mkopo Apandishwe timu kubwa, ,

Asante Dr mshindo msola kwa busala zako ktk kuibua vipaji,
.NANI ALIYEMLETA MZIZE YANGA? Watu wengi wamekuwa na swali la nani Aliyemleta clement mzinze katika familia ya Yanga, Apa unamzungumzia mchezaji kinda anayeumiza vichwa vya club nyingi Barani Africa na ulaya vikitaka kufanya kazi nayeye baada yakuona Ana kitu ktk miguu yake Dr Mshindo Msola Alitembelea Tawi la yanga KILOLO Iringa na vijana kutoka Tawi ilo walipiga magoti nakumuomba dr msolwa Aondoke na clement mzinze wakiamin Dogo Anaubonda sana but Ana conection pale kilolo hivyo kutoboa ni ngumu, , Dr msola Alikubali nakufanya Taratibu mzinze alipanda gali hadi jangwani na Baadae akapelekwa yanga B aliupiga mwingi kiasi chakumshtua mwinyi zahera, Ambaye Alibahatika kumuona live clement mzinze akicheza mpira ndani ya Yanga B, Mwinyi zahera Aliuomba uongozi wa Yanga umpige mkopo katika timu ya ligi kuu clement mzinze ili Aweze kuimalika zaidi,hali hii iliushtua uongozi wa Yanga Nakuanza kufatilia mazoezi ya Yanga B, kuna mtu maalum Alitumwa kufatilia kwaumakin, Ripoti ya mzinze iliposomwa na jopo la wataalamu ndani ya Yanga Africa, jibu likawa moja Mzinze asipigwe mkopo Apandishwe timu kubwa, , Asante Dr mshindo msola kwa busala zako ktk kuibua vipaji,
Like
2
· 0 Commentaires ·0 Parts ·383 Vue