Upgrade to Pro


LEONEL ATEBA VIBALI VIPO TAYARI ¦ KUANZA NA AL HILAL MCHEZO WA KIRAFIKI.

Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema anatarajiwa kumtumia straika huyo aliyesajiliwa kutoka USM Alger ya Algeria ambaye hakumpanga katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate kutokana na taratibu za vibali kutokamilika

"Sikumtumia sio kwa sababu za kiufundi, ila alikuwa na matatizo ya vibali, kwa sasa kila kitu kipo tayari, nitamtumia katika mchezo huo ili kumweka sawa, azoeane na wenzake kuelekea katika mechi yetu ya Kombe la Shirikisho," alisema Fadlu.
#paulswai
🚨LEONEL ATEBA VIBALI VIPO TAYARI ¦ KUANZA NA AL HILAL MCHEZO WA KIRAFIKI. 🗣️Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema anatarajiwa kumtumia straika huyo aliyesajiliwa kutoka USM Alger ya Algeria ambaye hakumpanga katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate kutokana na taratibu za vibali kutokamilika 🗣️"Sikumtumia sio kwa sababu za kiufundi, ila alikuwa na matatizo ya vibali, kwa sasa kila kitu kipo tayari, nitamtumia katika mchezo huo ili kumweka sawa, azoeane na wenzake kuelekea katika mechi yetu ya Kombe la Shirikisho," alisema Fadlu. #paulswai
Like
Love
2
2 Comments ·232 Views