KUFUZU AFCON 2025

TANZANIA ETHIOPIA
19:00
Mkapa.

Tunaweza kufuzu kwa kuanza kampeni vyema dhidi ya Ethiopia tunayoikaribisha leo ikiwa na rekodi zisizovutia. Ethiopia haijapata ushindi wowote katika mechi 11 za kimashindano zilizopita, ikipoteza sita na kuambulia sare tano.

Tunawakumbusha wachezaji wetu kupambana hadi mwisho na mashabiki wajitokeze kusapoti. Kwa sababu hawa Waethiopia ni wetu kabisa hawa. Kila la kheri @TaifaStars_
#paulswai
KUFUZU AFCON 2025 🇹🇿 TANZANIA 🆚 ETHIOPIA 🇪🇹 ⏰ 19:00 🏟️ Mkapa. Tunaweza kufuzu kwa kuanza kampeni vyema dhidi ya Ethiopia tunayoikaribisha leo ikiwa na rekodi zisizovutia. Ethiopia haijapata ushindi wowote katika mechi 11 za kimashindano zilizopita, ikipoteza sita na kuambulia sare tano. Tunawakumbusha wachezaji wetu kupambana hadi mwisho na mashabiki wajitokeze kusapoti. Kwa sababu hawa Waethiopia ni wetu kabisa hawa. Kila la kheri 🇹🇿@TaifaStars_ #paulswai
Like
2
1 Commentarios 0 Acciones 390 Views