KAGOMA NI MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA SIMBA SC - MWENYEKITI
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kiungo Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa klabu ya Simba kwani walifauta taratibu zote kumsajili kutoka klabu ya Singida Fountain Gate.
"Sisi tulifuata taratibu zote za kumsajili Kagoma ikiwa pamoja na kuwasiliana klabu aliyokuwa anacheza, Fountain Gate ambao walitupatia release letter"
"Ndio maana mchezaji unaona amepata leseni ya kuitumikia Simba. Lakini kwa sababu suala lake liko mbele ya Kamati tunasubiri maamuzi," alisema Mangungu
Taarifa iliyopatikana mapema hapo jana, imebainisha kuwa Kamati imemsimamisha Kagoma kwa muda wakati shauri lake likiendelea kusikilizwa
Swali ni je kwanini Mwanzo aliruhusiwa kucheza..?
#paulswai
🚨KAGOMA NI MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA SIMBA SC - MWENYEKITI
🔗Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kiungo Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa klabu ya Simba kwani walifauta taratibu zote kumsajili kutoka klabu ya Singida Fountain Gate.
🗣️ "Sisi tulifuata taratibu zote za kumsajili Kagoma ikiwa pamoja na kuwasiliana klabu aliyokuwa anacheza, Fountain Gate ambao walitupatia release letter"
🗣️ "Ndio maana mchezaji unaona amepata leseni ya kuitumikia Simba. Lakini kwa sababu suala lake liko mbele ya Kamati tunasubiri maamuzi," alisema Mangungu
Taarifa iliyopatikana mapema hapo jana, imebainisha kuwa Kamati imemsimamisha Kagoma kwa muda wakati shauri lake likiendelea kusikilizwa
🔗 Swali ni je kwanini Mwanzo aliruhusiwa kucheza..?
#paulswai
2 Комментарии
·179 Просмотры