Hata tungefanana vipi, hata tungelingana vipi, hata tungezidiana vipi, kila mmoja ana upekee wake unaomtofautisha na wengine. Ujue upekee wako, ukubali, ustawishe na uruhusu uchanue. Upekee wako ndio turufu yako. Hapajakuwapo wewe kabla na hapatakaa pawepo wewe mwingine baada!"

·297 Views