Upgrade to Pro

Simba SC imemtanguliza mratibu wake Abbas Ally wiki moja kabla ya mechi nchini Libya kwa ajili ya kuweka taratibu zote sawa kabla ya timu kuwasili Tripoli, Libya.

Simba Sports Club itacheza na Al Ahli Tripoli jumapili ya Sept 15, kwenye CAFCC.
#paulswai
Simba SC imemtanguliza mratibu wake Abbas Ally wiki moja kabla ya mechi nchini Libya 🇱🇾 kwa ajili ya kuweka taratibu zote sawa kabla ya timu kuwasili Tripoli, Libya. Simba Sports Club itacheza na Al Ahli Tripoli jumapili ya Sept 15, kwenye CAFCC. #paulswai
Like
1
·380 Views