“Tumechukua mwalimu mwenye uwezo mkubwa kweli kweli, ukiiangalia Simba inavyocheza hivi sasa inacheza kinoma noma, kuna wakati unatamani tukahamie tucheze Laliga.
Namna ambavyo timu yetu ina posses mpira, tunashambulia,namna tunavyotengeneza mashambulizi, tunalinda vizuri unaiangalia… unasema hii Simba inatastahili kucheza mbali zaidi.
Sasa nani yupo chini ya hayo mafanikio ni kocha Fadlu Davids”
Amesema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally.
#paulswai
✍🏾️|| TimesFM

🗣️“Tumechukua mwalimu mwenye uwezo mkubwa kweli kweli, ukiiangalia Simba inavyocheza hivi sasa inacheza kinoma noma, kuna wakati unatamani tukahamie tucheze Laliga.
🔊Namna ambavyo timu yetu ina posses mpira, tunashambulia,namna tunavyotengeneza mashambulizi, tunalinda vizuri unaiangalia… unasema hii Simba inatastahili kucheza mbali zaidi.
Sasa nani yupo chini ya hayo mafanikio ni kocha Fadlu Davids”
đź“ŚAmesema Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally.
#paulswai
✍🏾️|| TimesFM