Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', Moussa Camara, Ally Salim na Edwin Balua baada ya mchezo kati ya Guinea dhidi ya Taifa Stars wataondokea hapa Ivory Coast kwenda Libya .

Simba imewakatia wachezaji wake tiketi Egyptian Air na wanatarajia kuondoka Alfajiri ya Sept 11 kwenda Libya.
#paulswai
Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', Moussa Camara, Ally Salim na Edwin Balua baada ya mchezo kati ya Guinea dhidi ya Taifa Stars wataondokea hapa Ivory Coast kwenda Libya 🇱🇾. Simba imewakatia wachezaji wake tiketi Egyptian Air na wanatarajia kuondoka Alfajiri ya Sept 11 kwenda Libya. #paulswai
Like
2
· 0 Comments ·0 Shares ·271 Views