Upgrade to Pro

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 || Mahojiano ya Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC na waandishi wa habari kabla ya kuondoka Nchini kuelekea Libya

Mwandishi : "Suala la Lameck Lawi limeishaje?"

Ahmed : "Lameck Lawi ni mchezaji HALALI wa Simba SC, HALALI kabisa zingatia neno Halali kabisa"

Mwandishi : Mbona hatumuoni katika Kikosi chenu na mlimtambulisha?

Ahmed : " Suala lake lipo katika kamati na mtapatiwa majibu soon"

Mwandishi : "Kwanini mmekua na sintofahamu nyingi za mikataba kwa wachezaji wazawa safari hii?"

Ahmed : " Hiyo ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA"

Mwandishi : "Kwa Yusufu Kagoma, Awesu?"

Ahmed : "Ubaya ubwela tu"

Mwandishi : "Inaonekana hamfuati taratibu za kusaini wachezaji"

Ahmed : "Kusema ukweli Simba tuko smart sana na mikataba na tunajua tunachokifanya ila kuna watu wanajitoa akili"

Ahmed Ally akizungumza na Waandishi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
#paulswai
πŸš¨π”ππƒπ€π“π„π’ || Mahojiano ya Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC na waandishi wa habari kabla ya kuondoka Nchini kuelekea Libya Mwandishi : "Suala la Lameck Lawi limeishaje?" Ahmed : "Lameck Lawi ni mchezaji HALALI wa Simba SC, HALALI kabisa zingatia neno Halali kabisa" Mwandishi : Mbona hatumuoni katika Kikosi chenu na mlimtambulisha? Ahmed : " Suala lake lipo katika kamati na mtapatiwa majibu soon" Mwandishi : "Kwanini mmekua na sintofahamu nyingi za mikataba kwa wachezaji wazawa safari hii?" Ahmed : " Hiyo ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA" Mwandishi : "Kwa Yusufu Kagoma, Awesu?" Ahmed : "Ubaya ubwela tu" Mwandishi : "Inaonekana hamfuati taratibu za kusaini wachezaji" Ahmed : "Kusema ukweli Simba tuko smart sana na mikataba na tunajua tunachokifanya ila kuna watu wanajitoa akili" πŸ—£οΈAhmed Ally akizungumza na Waandishi Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere #paulswai
Like
1
Β·478 Views