Upgrade to Pro

CAF CONFEDERATION CUP
.
SIMBA SC AL AHLI TRIPOLI
16:00
Machinjioni kwa Mkapa
.
Mnyama anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, tayari Walibya walioonyesha kuingiwa ubaridi mapema tangu walipokuja nchini kwa kuweka ulinzi wa mabaunsa na kukimbilia katika ubalozi wa nchi hiyo kama kujihami pengine kwa kile kilichofanywa na mashabiki wao wiki iliyopita kuwafanyia fujo Wekundu hao baada ya kutoka suluhu.
.
Kila la Kheri @SimbaSCTanzania
#paulswai
CAF CONFEDERATION CUP ๐Ÿ† . ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ SIMBA SC ๐Ÿ†š AL AHLI TRIPOLI ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ โฐ 16:00 ๐ŸŸ๏ธ Machinjioni kwa Mkapa . Mnyama anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, tayari Walibya walioonyesha kuingiwa ubaridi mapema tangu walipokuja nchini kwa kuweka ulinzi wa mabaunsa na kukimbilia katika ubalozi wa nchi hiyo kama kujihami pengine kwa kile kilichofanywa na mashabiki wao wiki iliyopita kuwafanyia fujo Wekundu hao baada ya kutoka suluhu. . Kila la Kheri @SimbaSCTanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #paulswai
Like
4
1 Comments ยท390 Views