.*TANGAZO TANGAZO!*

SHULE YA MSINGI PIYAYA ILIYOPO TARAFA YA SALE KILOMETA 98 KUTOKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI NGORONGORO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KIMEANZISHA KITENGO CHA KUTOA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM NA MASOMO YAMEANZA RASMI JANUARI MWAKA HUU 2024.
HIVYO WANAFUNZI WANAOHITAJIKA NI KAMA WAFUATAO:-
1. VIZIWI (me/ke)
2. BUBU (me/ke)
3. WASIOONA (me/ke)
4. ALBINO (me/ke)
5. WALEMAVU WA VIUNGO (me/ke)
√ SHULE NI YA SERIKALI
√ SHULE NI YA BWENI NA KUTWA INA MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WANAFUNZI WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI KUJIFUNZA
√ WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM LAZIMA AKAE BWENI
√ HAKUNA ADA YOYOTE
√ KUNA NAFASI YA KUHAMIA KWA WANAOHITAJI
√ WATOTO WANAPATA CHAKULA BORA NA YA KUTOSHA SHULENI BILA MALIPO YOYOTE
√ KWA TARAFA YA SALE NA LOLIONDO MNAKARISHWA KUWAHI NAFASI NI CHACHE
√ KWA WATAKAO WAHI UTAPATIWA GODORO NA SHUKA BURE KABISA HAPA SHULENI

MLETE MTOTO MWENYE MAHITAJI MAALUM APATE ELIMU KWANI NI HAKI YAKE YA MSINGI SAWA NA WATOTO.

Kwa Masiliano zaidi 0622488033
Namba ya WhatsApp 0786808033 (Mwl Mkuu)
0787357679 (AEK)
0767313995 (DPSNEO)

Ukipata TANGAZO hii sambaza kadri Uwezavyo ili kwa pamoja tuwasaidie watoto wenye mahitaji maalum wapate haki yao ya msingi
.*TANGAZO TANGAZO!* SHULE YA MSINGI PIYAYA ILIYOPO TARAFA YA SALE KILOMETA 98 KUTOKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI NGORONGORO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KIMEANZISHA KITENGO CHA KUTOA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM NA MASOMO YAMEANZA RASMI JANUARI MWAKA HUU 2024. HIVYO WANAFUNZI WANAOHITAJIKA NI KAMA WAFUATAO:- 1. VIZIWI (me/ke) 2. BUBU (me/ke) 3. WASIOONA (me/ke) 4. ALBINO (me/ke) 5. WALEMAVU WA VIUNGO (me/ke) √ SHULE NI YA SERIKALI √ SHULE NI YA BWENI NA KUTWA INA MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WANAFUNZI WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI KUJIFUNZA √ WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM LAZIMA AKAE BWENI √ HAKUNA ADA YOYOTE √ KUNA NAFASI YA KUHAMIA KWA WANAOHITAJI √ WATOTO WANAPATA CHAKULA BORA NA YA KUTOSHA SHULENI BILA MALIPO YOYOTE √ KWA TARAFA YA SALE NA LOLIONDO MNAKARISHWA KUWAHI NAFASI NI CHACHE √ KWA WATAKAO WAHI UTAPATIWA GODORO NA SHUKA BURE KABISA HAPA SHULENI MLETE MTOTO MWENYE MAHITAJI MAALUM APATE ELIMU KWANI NI HAKI YAKE YA MSINGI SAWA NA WATOTO. Kwa Masiliano zaidi 0622488033 Namba ya WhatsApp 0786808033 (Mwl Mkuu) 0787357679 (AEK) 0767313995 (DPSNEO) Ukipata TANGAZO hii sambaza kadri Uwezavyo ili kwa pamoja tuwasaidie watoto wenye mahitaji maalum wapate haki yao ya msingi
Like
Love
8
· 1 Comments ·0 Shares ·406 Views