Beki wa Al ahali Tripoli amuomba radhi DEBORA FERNANDES .

Beki wa klabu ya Al AHLI TRIPOLI Thierry Manzi Raia wa Rwanda amemuomba radhi kiungo wa Simba Debora Fernandes

Na hii ni baada ya yeye kumchezea rafu mbaya kwenye mchezo wa wikiend iliyopita.
#paulswai
Beki wa Al ahali Tripoli amuomba radhi DEBORA FERNANDES . Beki wa klabu ya Al AHLI TRIPOLI Thierry Manzi Raia wa Rwanda amemuomba radhi kiungo wa Simba Debora Fernandes Na hii ni baada ya yeye kumchezea rafu mbaya kwenye mchezo wa wikiend iliyopita. #paulswai
Like
3
· 1 Commentarios ·0 Acciones ·260 Views