Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana baada ya kuwasili visiwani Zanzibar.
Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu tumemkabidhi zawadi ya jezi Rais Dkt. Mwinyi pamoja na mke wake mama Mariam Mwinyi.
Akizungumzia katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu, Rais Dkt. Mwinyi ametupongeza kwa namna tunavyoiwakilisha vyema nchi kimataifa kwani jambo hilo linasaidia kukuza utalii kupitia michezo.
Pia Rais Dkt. Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha na kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitakuwa na vigezo vya kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 na CHAN 2025 hivyo kutukaribisha muda wowote kuja kuchezea hapa michezo ya mashindano ya ndani na kimataifa.
Kwa upande wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta maendeleo lakini pia ametumia nafasi hiyo kuwasilisha ombi la Simba kupata eneo ambalo tutajenga kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu (academy). #WenyeNchi #NguvuMoja
#paulswai

·410 Просмотры