Upgrade to Pro

Wanasimba leo saa 6 mchana tutakutana Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe, Dar es Salaam kushuhudia droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Lakini pia tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Wanasimba leo saa 6 mchana tutakutana Tawi la Asili ya Simba lililopo Kawe, Dar es Salaam kushuhudia droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Lakini pia tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Like
1
·420 Views