“Kazi yangu ni kucheza mpira na sio kujisifia, wanaotazama ndio wanapaswa kusema mimi ni bora ila sio kujisemea, ila ukiniambia nikutajie Mabeki bora wa kati kwenye hii nchi maana yake wawili wa kwanza wanapaswa kutoka Yanga kwakuwa hawajaruhusu bao lolote mpaka sasa, Ibra Bacca na Dickson Job wapo vizuri sana, kisha Fuentes yupo Azam na Abdulrazack Hamza ni Beki mzuri sana”
Che Malone, Beki wa kati wa SIMBA SC.
#paulswai

·248 Views