.Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Afrika(ACA) Eng. Hersi Said kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Barani Ulaya(ECA) ambaye pia ni Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain(PSG) Nasser Al-Khelaifi kwenye mkutano mkubwa wa vilabu unaofanyika kwenye mji wa Athens, Ugiriki.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

·443 مشاهدة