Upgrade to Pro

Mechi ambayo nilitoka uwanjani nikasema chochote watakachoongea mashabiki ni sawa ni mechi ya Yanga tuliyofungwa 5 na nilisema hakuna cha kujitetea , ilikuwa mbaya na inaendelea kukaa kichwani kwangu , nililia maana napenda sana ushindani na nachukia kufungwa.” - Shomari Kapombe

Like
2
·284 Views