Simba na Yanga mwezi wa 12 katika michuano ya kimataifa wanatakutana nchini Algeria wote wakiwa ugenini kutafuta pointi muhimu.
Yanga wao kwenye Ligi ya Mabingwa watakuwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Algers kukipiga na MC ALGERS mechi itapigwa kati ya December 6 au 7.
Simba wao kwenye kombe la Shirikisho wao watakuwa katika mji wa Costantine kucheza na CS Constantine December 8 au 9.
LITAKUFA JITU ALGERIA HUKO
#paulswai

Simba na Yanga mwezi wa 12 katika michuano ya kimataifa wanatakutana nchini Algeria 🇩🇿 wote wakiwa ugenini kutafuta pointi muhimu.
Yanga wao kwenye Ligi ya Mabingwa watakuwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Algers kukipiga na MC ALGERS mechi itapigwa kati ya December 6 au 7.
Simba wao kwenye kombe la Shirikisho wao watakuwa katika mji wa Costantine kucheza na CS Constantine December 8 au 9.
LITAKUFA JITU ALGERIA 🇩🇿 HUKO😂😂
#paulswai
·167 Ansichten