Simba ina habari njema juu ya beki wake wa kati, Abdulrazack Hamza ambaye alipata majeraha muda mfupi baada ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa Stars’ hivi karibuni kwa ajili ya maandalizi ya mechi 2 dhidi ya DR Congo za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025.
Baada ya matibabu ambayo ameyapata chini ya uangalizi wa jopo la madaktari wa Simba, beki huyo yupo katika maendeleo mazuri kiafya na leo Jumatatu ataungana na wenzake kikosini kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Yanga.
#paulswai

·306 Views