Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]