Kuwa nasi kwa habari za michezo kote ulaya 🙏
-
21 أشخاص أعجبو بهذا
-
11 المنشورات
-
11 الصور
-
0 الفيديوهات
-
0 معاينة
-
Sport
التحديثات الأخيرة
-
Emi Martínez ameweka wazi kuwa anataka kujiunga na Manchester United na Aston Villa haijakataa kumuuza. Inaweza kuchukua takriban pauni milioni 40 kukamilisha dili hilo, lakini United bado haijafanya uamuzi wa mwisho wa kuchukua nafasi ya Onana. [Ben Jacobs]Emi Martínez ameweka wazi kuwa anataka kujiunga na Manchester United na Aston Villa haijakataa kumuuza. Inaweza kuchukua takriban pauni milioni 40 kukamilisha dili hilo, lakini United bado haijafanya uamuzi wa mwisho wa kuchukua nafasi ya Onana. [Ben Jacobs]0 التعليقات 0 المشاركات 426 مشاهدة1
الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا! -
-
Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]1 التعليقات 0 المشاركات 585 مشاهدة3
-
Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa.
"Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa. 🗣️ "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]1 التعليقات 0 المشاركات 731 مشاهدة
5
-
Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.1 التعليقات 0 المشاركات 748 مشاهدة
4
-
Paul Pogba:
"Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.Paul Pogba🗣️: "Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.1 التعليقات 0 المشاركات 855 مشاهدة5
-
Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]2 التعليقات 0 المشاركات 554 مشاهدة5
-
Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.1 التعليقات 0 المشاركات 763 مشاهدة3
-
Mbappe & Vini jrMbappe & Vini jr 🔥1 التعليقات 0 المشاركات 847 مشاهدة3
-
-
المزيد من المنشورات