Kuwa nasi kwa habari za michezo kote ulaya 🙏
-
21 A la gente le gusta esto.
-
11 Entradas
-
11 Fotos
-
0 Videos
-
0 Vista previa
-
Sport
Actualizaciones Recientes
-
Emi Martínez ameweka wazi kuwa anataka kujiunga na Manchester United na Aston Villa haijakataa kumuuza. Inaweza kuchukua takriban pauni milioni 40 kukamilisha dili hilo, lakini United bado haijafanya uamuzi wa mwisho wa kuchukua nafasi ya Onana. [Ben Jacobs]Emi Martínez ameweka wazi kuwa anataka kujiunga na Manchester United na Aston Villa haijakataa kumuuza. Inaweza kuchukua takriban pauni milioni 40 kukamilisha dili hilo, lakini United bado haijafanya uamuzi wa mwisho wa kuchukua nafasi ya Onana. [Ben Jacobs]0 Commentarios 0 Acciones 427 Views1
Please log in to like, share and comment! -
-
Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]1 Commentarios 0 Acciones 586 Views3
-
Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa.
"Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa. 🗣️ "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]1 Commentarios 0 Acciones 732 Views
5
-
Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.1 Commentarios 0 Acciones 749 Views
4
-
Paul Pogba:
"Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.Paul Pogba🗣️: "Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.1 Commentarios 0 Acciones 855 Views5
-
Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]2 Commentarios 0 Acciones 555 Views5
-
Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.1 Commentarios 0 Acciones 764 Views3
-
Mbappe & Vini jrMbappe & Vini jr 🔥1 Commentarios 0 Acciones 848 Views3
-
1 Commentarios 0 Acciones 641 Views1
-
Quizás te interese…