Sports News
Sports News
Kuwa nasi kwa habari za michezo kote ulaya 🙏
21 pessoas curtiram isso
9 Publicações
9 fotos
0 Vídeos
0 Anterior
Atualizações recentes
  • Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]
    Jeremie Frimpong wa Bayer Leverkusen ni miongoni mwa chaguzi kuu mbili ambazo Real Madrid wanafikiria kumsajili beki wao wa kulia, huku Trent Alexander-Arnold akiwa kwenye orodha iyo. [AS]
    Like
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·219 Visualizações
  • Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa.

    "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]
    Gosens ilimbidi aiGoogle "Atalanta ni nani" walipompa ofa. 🗣️ "Nilipokuwa Uholanzi walinipigia simu kunishawishi nijiunge na Atalanta, klabu ambayo sikuwahi kuisikia. Niliwatafuta kwenye google na nikaona kwamba wanaenda kucheza Europa League hivyo nikakubali ofa hiyo." [TMW]
    Like
    Haha
    5
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·282 Visualizações
  • Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.
    Kike García ndiye mchezaji wa kwanza wa Alavés katika karne ya 21 kuingia kama mchezaji wa akiba, kufunga na kupata kadi nyekundu katika mechi moja ya LaLiga.
    Like
    Wow
    4
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·268 Visualizações
  • Paul Pogba:

    "Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.
    Paul Pogba🗣️: "Sisi sote ni binadamu, sote tuna hisia. Nakwambia, wakati marufuku ya kushiriki michezo ilipotokea, niligundua maisha ni nini. Paul Pogba kijana maarufu hayupo tena. Watu walikuwa wakinikwepa. Nilikuwa naalikwa kwenye mitindo na matukio kama hayo sasa yalikuwa kama: 'hatuwezi kumtumia Pogba'.
    Like
    5
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·373 Visualizações
  • Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]
    Manchester United itakuwa tayari kumruhusu Antony (24) kuondoka kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari. Imeongezwa pia kuwa watasikiliza ofa za takriban £40m kwa fowadi huyo. [Mail Sport]
    Like
    5
    · 2 Comentários ·0 Compartilhamentos ·214 Visualizações
  • Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.
    Jina na picha ya Thomas Tuchel imewekwa kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuwa meneja mpya wa England.
    Like
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·304 Visualizações
  • Mbappe & Vini jr
    Mbappe & Vini jr 🔥
    Like
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·373 Visualizações
  • Like
    1
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·282 Visualizações
  • Like
    2
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·278 Visualizações
Mais stories