ITALETA SHIDA KUTOPATA MATOKEO KWENYE MECHI TATU MFULULIZO SIMBASC

Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine.

Msafara wa Simba ulitua Mbeya jana jioni ambapo leo timu itafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sokoine

Mchezo dhidi ya Tz Prisons ni Muhimu ili kurejesha Morali na Utulivu kwa Wana Msimbazi wote.

Ni wazi hautakua mchezo rahisi kwani Tanzania Prisons wamekuwa na historia ya kuisumbua Simba hasa wanapocheza katika uwanja wa
Sokoine

Simba haijapata ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Coastal Union na Yanga, hivyo hakuna namna alama tatu za mchezo dhidi ya Prisons zina umuhimu mkubwa

#paulswai
ITALETA SHIDA KUTOPATA MATOKEO KWENYE MECHI TATU MFULULIZO SIMBASC🦁💪 Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine. Msafara wa Simba ulitua Mbeya jana jioni ambapo leo timu itafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sokoine Mchezo dhidi ya Tz Prisons ni Muhimu ili kurejesha Morali na Utulivu kwa Wana Msimbazi wote. Ni wazi hautakua mchezo rahisi kwani Tanzania Prisons wamekuwa na historia ya kuisumbua Simba hasa wanapocheza katika uwanja wa Sokoine Simba haijapata ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Coastal Union na Yanga, hivyo hakuna namna alama tatu za mchezo dhidi ya Prisons zina umuhimu mkubwa #paulswai
Like
2
0 Commentarii 0 Distribuiri 32 Views