Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kimerejea jijini Dsm kutoka Mbeya ambapo jana kilicheza na kushinda goli 1-0 dhidi ya Wajelajela Tz Prisons nakuvuna alama tatu zilizowafanya wafikishe alama 16 katika michezo 7 waliyocheza huku wakishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu bara.
Sasa Simba inajiandaa kuipokea Namungo fc mechi itakayopigwa October 25 jijini Dsm.
#paulswai
Read more