Timu ya Al Ahli Tripoli ya Libya imefungiwa kucheza mechi zake mbili zijazo za mashindano ya CAF bila mashabiki, Al Ahli pia imetakiwa kulipa faini ya (Dollas 20000) sawa na zaidi ya shilingi millioni 54.
Al Ahli Tripoli walifanya fujo dhidi ya Simba SportsClub, Septemba 15.
#paulswai
Al Ahli Tripoli walifanya fujo dhidi ya Simba SportsClub, Septemba 15.
#paulswai
Timu ya Al Ahli Tripoli ya Libya 🇱🇾 imefungiwa kucheza mechi zake mbili zijazo za mashindano ya CAF bila mashabiki, Al Ahli pia imetakiwa kulipa faini ya (Dollas 20000) sawa na zaidi ya shilingi millioni 54.
Al Ahli Tripoli walifanya fujo dhidi ya Simba SportsClub, Septemba 15.
#paulswai
1 Commentarii
·213 Views