Simba dhidi ya JKT Tanzania Mchezo umehairishwa.
Taarifa kutoka Bodi ya Ligi na simba sc wamethibitisha rasmi hii leo kuwa Mchezo huo hautafanyika kesho bali utapangiwa tarehe nyingine kutokana na Ajali waliyoipata wachezaji wa Jt Tanzania Jana lakini pia mchezo wa Namungo na Jkt nao hautokuwepo
#paulswai

2 Comments
·112 Views