Upgrade to Pro

TAFAKURI YA LEO.

1. Ana umri wa miaka 68 na sasa amestaafu kazi.

2. Alifanya kazi kwa bidii maisha yake yote akalea mke na watoto wake vizuri tu.

3. Alijinyima raha za maisha kwa kulipa ada ya shule ghali na gharama za maisha kwa watoto wake hadi nje ya nchi.

4. Sasa watoto wamekua na wako vizuri kimaisha huko Ulaya na mke wake amehamia huko kuishi na watoto wake.

5. Sasa yuko peke yake nchini kwake. Mke na watoto wake wako mbali naye.

6. Sasa imebidi aanze tena upya maisha ya ubachelor huku akipambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzeeni.

7. Huu ndio ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wa upweke, shida na huzuni.

8. Wanawake wanapenda sana watoto wao zaidi ya waume zao...haijalishi mwanaume alipambana kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo uthamani wake unavyopungua kwa mke wake.

9. Wanaume wanajitolea sana lakini wanaopata kuthaminiwa ni wachache.
TAFAKURI YA LEO. 1. Ana umri wa miaka 68 na sasa amestaafu kazi. 2. Alifanya kazi kwa bidii maisha yake yote akalea mke na watoto wake vizuri tu. 3. Alijinyima raha za maisha kwa kulipa ada ya shule ghali na gharama za maisha kwa watoto wake hadi nje ya nchi. 4. Sasa watoto wamekua na wako vizuri kimaisha huko Ulaya na mke wake amehamia huko kuishi na watoto wake. 5. Sasa yuko peke yake nchini kwake. Mke na watoto wake wako mbali naye. 6. Sasa imebidi aanze tena upya maisha ya ubachelor huku akipambana na shinikizo la damu na magonjwa mengine ya uzeeni. 7. Huu ndio ukweli kwa wanaume wengi wa tabaka la wafanyakazi wenye mke mmoja. Uzee wao kwa kawaida ni wa upweke, shida na huzuni. 8. Wanawake wanapenda sana watoto wao zaidi ya waume zao...haijalishi mwanaume alipambana kiasi gani. Kadiri anavyozidi kuwa mzee, ndivyo uthamani wake unavyopungua kwa mke wake. 9. Wanaume wanajitolea sana lakini wanaopata kuthaminiwa ni wachache.
Like
2
1 Comments ·188 Views