Upgrade to Pro

YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA

RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika,

👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6
👉🏿Wameshinda 5
👉🏿Wamedroo 1
👉🏿Wamevuna alama 16

FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS,

RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA 🏆 RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika, 👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6 👉🏿Wameshinda 5 👉🏿Wamedroo 1 👉🏿Wamevuna alama 16 FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS, RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
·239 Views