.Young Africans SC kwa kushirikiana na @gsmfoundationtz tumechangia TZS Millioni 50 kwenye harambee maalum iliyoendeshwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI kwa dhumuni la kusaidia matibabu ya watoto 1500 wanaotibiwa kwenye taasisi hiyo.
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI imetoa tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wetu wa uhamasishaji na uchangiaji fedha wa kusaidia matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo na imekabidhiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete na kupokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Wanachama Young Africans SC, Ibrahim Samwel jana kwenye chakula cha jioni maalum cha kuchangisha fedha kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

2 Comments
·590 Views