Wizara ya Afya imetangaza matokeo ya Mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira kwa kuhusisha Manispaa 19 za Tanzania ambapo Manispaa ya Shinyanga imeibuka kuwa Mshindi wa kwanza.
Shinyanga imeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 95 ya alama zote ikifuatiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ambayo imepata asilimia 87.
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambayo kwa miaka mingi imekuwa kwenye orodha ya Manispaa safi za Tanzania, mwaka huu imeshika nafasi ya tatu kwa kupata asilimia 83 ya alama zote. #MillardAyoUPDATES

2 Comments
·353 Views