Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa taarifa kwa Wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa inakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na Wanafunzi watarajie kupokea fedha hizo kuanzia kesho Jumatatu May 20, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia amesema ametoa ufafanuzi huo baada ya maoni na maswali yanayoulizwa na Wanafunzi Wanufaika kupitia barua pepe, mitandao ya kijamii kuhusu hatua ya malipo iliyofikiwa hususan kwa vyuo ambavyo tarehe za malipo (due dates) ya robo ya nne zimefika.
“Tunawasihi Wanafunzi kuwa watulivu na kuwasiliana na Maafisa Mikopo waliopo katika Vyuo vyote Nchini pale watakapokuwa na maoni au kuhitaji ufafanuzi, katika mwaka wa masomo 2023/2024, Serikali imetenga Tsh. 786 bilioni kwa ajili ya mikopo na ruzuku kwa Wanafunzi zaidi ya 220,000 wanaosoma shahada na stashahada mbalimbali katika Taasisi za elimu Nchini”
#MillardAyoUPDATES

4 Comments
·373 Views