• KWANINI WANAWAKE WAZURI HUOLEWA NA WANAUME WASIO SAHIHI.

    1) KUKATA TAMAA

    "Umri unaenda, bora tu niwe na mume"
    "Yeyote atakayekuja, nitaolewa, nitajikakamua, bora tu niingie kwenye ndoa"

    Kutoka kwenye ndoa, wanaingia kwenye madhara, na baada ya muda tunaanza kusikia hadithi zinazogusa koo za Kasongo mbona Wewooo, Mobali na Ngai. Mbona Wewoooo.

    Pale Kukata Tamaa kunapoingia ndani, Ufunuo hutoka nje.

    ---

    2) MUONEKANO/FANTASIA

    Unadhani maisha halisi ni kama Instagram na Pinterest au Tiktok?

    Pale Binti anapotaka kuolewa na Mwanaume kwa sababu tu ni mzuri kwa sura na anavaa vizuri (ili wapige picha za couple za kuwasha mitandao) bila kuchunguza tabia zake zaidi ya muonekano.

    "Mwanaume nitakayemuoa lazima afanane na crush wangu wa Kikorea"

    Lee Min-ho.

    Sasa umeolewa na Lee Min-ho wako, Furaha na Amani ya moyo zimekimbia.

    Sasa uko ofisini kwa washauri wa ndoa ukilia.

    Dada yangu,

    Niachie basi.

    Uliolewa na Mwanaume mzuri kwa sura bila tabia njema ili utupake pilipili mitandaoni.

    Sasa huyo Mwanaume mzuri anakupaka pilipili nje ya mtandao.

    Ukatupaka pilipili Singles na walio kwenye ndoa mtandaoni, ukarudi nyumbani ukapakwa pilipili wewe binafsi.

    Dhibiti pilipili yako, nasi tutaendelea kudhibiti zetu.

    Huwa nasema utajikoroboa sana sura iwe kama tui la nazi Ila wapi, Chubua akili sio ngozi au Sura. Sura hata mbuzi au kitimoto anayo

    ---

    3) KWA AJILI YA PESA NA UMAARUFU

    Wanapokuacha baada ya miaka mingi, wewe na mashabiki wako mnasema "Wanaume wote ni wabaya".

    Kumbuka: Maamuzi daima yana matokeo.

    ---

    4) KWA AJILI YA KUPENDEKEZA FAMILIA

    Ili tu Mama na Baba wafurahi, wengi wanaingia kwenye mahusiano na ndoa zisizo na maisha, ili kulipa bili za familia (bili ambazo hukuzitengeneza, umaskini ambao si kosa lako) unataka kuolewa na mwanaume mbaya waziwazi.

    Dada yangu, usiogope Mama asikasirike, atajitahidi kuvumilia huzuni kidogo.

    Ukifa kesho, hiyo familia unayooa ili uwasaidie itasonga mbele.

    ---

    Dada yangu,

    Kwa ajili ya kesho yako,

    OLEWA KWA AJILI YA AMANI YAKO.
    OLEWA VIZURI.

    Nimehitimisha hoja yangu.

    Arnold Kisanga || +255719545472
    Kilimanjaro, Tanzania.
    KWANINI WANAWAKE WAZURI HUOLEWA NA WANAUME WASIO SAHIHI.

    1) KUKATA TAMAA

    "Umri unaenda, bora tu niwe na mume"
    "Yeyote atakayekuja, nitaolewa, nitajikakamua, bora tu niingie kwenye ndoa"

    Kutoka kwenye ndoa, wanaingia kwenye madhara, na baada ya muda tunaanza kusikia hadithi zinazogusa koo za Kasongo mbona Wewooo, Mobali na Ngai. Mbona Wewoooo.

    Pale Kukata Tamaa kunapoingia ndani, Ufunuo hutoka nje.

    ---

    2) MUONEKANO/FANTASIA

    Unadhani maisha halisi ni kama Instagram na Pinterest au Tiktok?

    Pale Binti anapotaka kuolewa na Mwanaume kwa sababu tu ni mzuri kwa sura na anavaa vizuri (ili wapige picha za couple za kuwasha mitandao) bila kuchunguza tabia zake zaidi ya muonekano.

    "Mwanaume nitakayemuoa lazima afanane na crush wangu wa Kikorea"

    Lee Min-ho.

    Sasa umeolewa na Lee Min-ho wako, Furaha na Amani ya moyo zimekimbia.

    Sasa uko ofisini kwa washauri wa ndoa ukilia.

    Dada yangu,

    Niachie basi.

    Uliolewa na Mwanaume mzuri kwa sura bila tabia njema ili utupake pilipili mitandaoni.

    Sasa huyo Mwanaume mzuri anakupaka pilipili nje ya mtandao.

    Ukatupaka pilipili Singles na walio kwenye ndoa mtandaoni, ukarudi nyumbani ukapakwa pilipili wewe binafsi.

    Dhibiti pilipili yako, nasi tutaendelea kudhibiti zetu.

    Huwa nasema utajikoroboa sana sura iwe kama tui la nazi Ila wapi, Chubua akili sio ngozi au Sura. Sura hata mbuzi au kitimoto anayo

    ---

    3) KWA AJILI YA PESA NA UMAARUFU

    Wanapokuacha baada ya miaka mingi, wewe na mashabiki wako mnasema "Wanaume wote ni wabaya".

    Kumbuka: Maamuzi daima yana matokeo.

    ---

    4) KWA AJILI YA KUPENDEKEZA FAMILIA

    Ili tu Mama na Baba wafurahi, wengi wanaingia kwenye mahusiano na ndoa zisizo na maisha, ili kulipa bili za familia (bili ambazo hukuzitengeneza, umaskini ambao si kosa lako) unataka kuolewa na mwanaume mbaya waziwazi.

    Dada yangu, usiogope Mama asikasirike, atajitahidi kuvumilia huzuni kidogo.

    Ukifa kesho, hiyo familia unayooa ili uwasaidie itasonga mbele.

    ---

    Dada yangu,

    Kwa ajili ya kesho yako,

    OLEWA KWA AJILI YA AMANI YAKO.
    OLEWA VIZURI.

    Nimehitimisha hoja yangu.

    Credit
    Arnold Kisanga
    KWANINI WANAWAKE WAZURI HUOLEWA NA WANAUME WASIO SAHIHI. 1) KUKATA TAMAA "Umri unaenda, bora tu niwe na mume" "Yeyote atakayekuja, nitaolewa, nitajikakamua, bora tu niingie kwenye ndoa" Kutoka kwenye ndoa, wanaingia kwenye madhara, na baada ya muda tunaanza kusikia hadithi zinazogusa koo za Kasongo mbona Wewooo, Mobali na Ngai. Mbona Wewoooo. Pale Kukata Tamaa kunapoingia ndani, Ufunuo hutoka nje. --- 2) MUONEKANO/FANTASIA Unadhani maisha halisi ni kama Instagram na Pinterest au Tiktok? Pale Binti anapotaka kuolewa na Mwanaume kwa sababu tu ni mzuri kwa sura na anavaa vizuri (ili wapige picha za couple za kuwasha mitandao) bila kuchunguza tabia zake zaidi ya muonekano. "Mwanaume nitakayemuoa lazima afanane na crush wangu wa Kikorea" Lee Min-ho. Sasa umeolewa na Lee Min-ho wako, Furaha na Amani ya moyo zimekimbia. Sasa uko ofisini kwa washauri wa ndoa ukilia. Dada yangu, Niachie basi. Uliolewa na Mwanaume mzuri kwa sura bila tabia njema ili utupake pilipili mitandaoni. Sasa huyo Mwanaume mzuri anakupaka pilipili nje ya mtandao. Ukatupaka pilipili Singles na walio kwenye ndoa mtandaoni, ukarudi nyumbani ukapakwa pilipili wewe binafsi. Dhibiti pilipili yako, nasi tutaendelea kudhibiti zetu. Huwa nasema utajikoroboa sana sura iwe kama tui la nazi Ila wapi, Chubua akili sio ngozi au Sura. Sura hata mbuzi au kitimoto anayo --- 3) KWA AJILI YA PESA NA UMAARUFU Wanapokuacha baada ya miaka mingi, wewe na mashabiki wako mnasema "Wanaume wote ni wabaya". Kumbuka: Maamuzi daima yana matokeo. --- 4) KWA AJILI YA KUPENDEKEZA FAMILIA Ili tu Mama na Baba wafurahi, wengi wanaingia kwenye mahusiano na ndoa zisizo na maisha, ili kulipa bili za familia (bili ambazo hukuzitengeneza, umaskini ambao si kosa lako) unataka kuolewa na mwanaume mbaya waziwazi. Dada yangu, usiogope Mama asikasirike, atajitahidi kuvumilia huzuni kidogo. Ukifa kesho, hiyo familia unayooa ili uwasaidie itasonga mbele. --- Dada yangu, Kwa ajili ya kesho yako, OLEWA KWA AJILI YA AMANI YAKO. OLEWA VIZURI. Nimehitimisha hoja yangu. Arnold Kisanga || +255719545472 Kilimanjaro, Tanzania. KWANINI WANAWAKE WAZURI HUOLEWA NA WANAUME WASIO SAHIHI. 1) KUKATA TAMAA "Umri unaenda, bora tu niwe na mume" "Yeyote atakayekuja, nitaolewa, nitajikakamua, bora tu niingie kwenye ndoa" Kutoka kwenye ndoa, wanaingia kwenye madhara, na baada ya muda tunaanza kusikia hadithi zinazogusa koo za Kasongo mbona Wewooo, Mobali na Ngai. Mbona Wewoooo. Pale Kukata Tamaa kunapoingia ndani, Ufunuo hutoka nje. --- 2) MUONEKANO/FANTASIA Unadhani maisha halisi ni kama Instagram na Pinterest au Tiktok? Pale Binti anapotaka kuolewa na Mwanaume kwa sababu tu ni mzuri kwa sura na anavaa vizuri (ili wapige picha za couple za kuwasha mitandao) bila kuchunguza tabia zake zaidi ya muonekano. "Mwanaume nitakayemuoa lazima afanane na crush wangu wa Kikorea" Lee Min-ho. Sasa umeolewa na Lee Min-ho wako, Furaha na Amani ya moyo zimekimbia. Sasa uko ofisini kwa washauri wa ndoa ukilia. Dada yangu, Niachie basi. Uliolewa na Mwanaume mzuri kwa sura bila tabia njema ili utupake pilipili mitandaoni. Sasa huyo Mwanaume mzuri anakupaka pilipili nje ya mtandao. Ukatupaka pilipili Singles na walio kwenye ndoa mtandaoni, ukarudi nyumbani ukapakwa pilipili wewe binafsi. Dhibiti pilipili yako, nasi tutaendelea kudhibiti zetu. Huwa nasema utajikoroboa sana sura iwe kama tui la nazi Ila wapi, Chubua akili sio ngozi au Sura. Sura hata mbuzi au kitimoto anayo --- 3) KWA AJILI YA PESA NA UMAARUFU Wanapokuacha baada ya miaka mingi, wewe na mashabiki wako mnasema "Wanaume wote ni wabaya". Kumbuka: Maamuzi daima yana matokeo. --- 4) KWA AJILI YA KUPENDEKEZA FAMILIA Ili tu Mama na Baba wafurahi, wengi wanaingia kwenye mahusiano na ndoa zisizo na maisha, ili kulipa bili za familia (bili ambazo hukuzitengeneza, umaskini ambao si kosa lako) unataka kuolewa na mwanaume mbaya waziwazi. Dada yangu, usiogope Mama asikasirike, atajitahidi kuvumilia huzuni kidogo. Ukifa kesho, hiyo familia unayooa ili uwasaidie itasonga mbele. --- Dada yangu, Kwa ajili ya kesho yako, OLEWA KWA AJILI YA AMANI YAKO. OLEWA VIZURI. Nimehitimisha hoja yangu. Credit Arnold Kisanga
    Love
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·492 Views
  • David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi.

    DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders.

    #paulswai
    David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·532 Views
  • Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu.

    Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo.

    Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup).

    Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·2K Views
  • #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE).

    Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali.

    Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani.

    Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii.

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·2K Views
  • Poleni Kilimanjaro Wonders.

    CRDBBankFederationCup


    #paulswai
    Poleni Kilimanjaro Wonders. CRDBBankFederationCup #paulswai
    Like
    Love
    Angry
    7
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·714 Views
  • Live 17'
    Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    Live 17' Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    0 Reacties ·0 aandelen ·348 Views
  • Kikosi Cha Simba Vs Kilimanjaro Wonders
    1.Ally Salum
    2.Duchu
    3.Nouma
    4.Chamou
    5.Hamza
    6.Okejepha
    7.Chasambi
    8.Mzamiru
    9.Mashaka
    10.Awesu
    11.Mutale
    Kikosi Cha Simba Vs Kilimanjaro Wonders 1.Ally Salum 2.Duchu 3.Nouma 4.Chamou 5.Hamza 6.Okejepha 7.Chasambi 8.Mzamiru 9.Mashaka 10.Awesu 11.Mutale
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·356 Views
  • Simba vs Kilimanjaro wonders
    Simba vs Kilimanjaro wonders 👐
    Like
    1
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·310 Views

  • Mchezaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, akizungumza kuelekea mchezo wa kesho wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders utakaochezwa uwanja wa KMC, Mwenge

    #paulswai
    Mchezaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, akizungumza kuelekea mchezo wa kesho wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders utakaochezwa uwanja wa KMC, Mwenge #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·607 Views
  • "MECHI YA KESHO NI KAMA FAINALI" | KOCHA MATOLA AFUNGUKA | KILIMANJARO KAZI WANAYO.

    #paulswai
    "MECHI YA KESHO NI KAMA FAINALI" | KOCHA MATOLA AFUNGUKA | KILIMANJARO KAZI WANAYO. #paulswai
    Like
    3
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·518 Views
  • "The Unforgetable THROW BACK
    Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa

    NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa
    Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    "The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa 👑 NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa💪💪💪 Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·707 Views
  • Mkazi wa Kijiji Cha Shimbi kati wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro mekamatwa na Polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
    Mkazi wa Kijiji Cha Shimbi kati wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro mekamatwa na Polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
    Haha
    Like
    3
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·362 Views
  • Nacho kifanya iga uone...
    Hakuna anae miliki ramani ya Money...
    Kama pesa makaratasi Yachane tuone...
    Miliki heshima speed Kwenye mapene...
    Zuga kama umenimiss....
    Pis kama unanipenda shusha kiss...
    Chata ya kilimanjaro mchaga halis...
    Tena munigga tiih tiih Mweus...
    Pambana maisha magumu yawe Hadith...
    Nacho kifanya iga uone... Hakuna anae miliki ramani ya Money... Kama pesa makaratasi Yachane tuone... Miliki heshima speed Kwenye mapene... Zuga kama umenimiss.... Pis kama unanipenda shusha kiss... Chata ya kilimanjaro mchaga halis... Tena munigga tiih tiih Mweus... Pambana maisha magumu yawe Hadith...
    Like
    3
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·626 Views
  • Kitu cha Maana Kilipo panda Mlima Kilimanjaro
    Kitu cha Maana Kilipo panda Mlima Kilimanjaro
    0 Reacties ·0 aandelen ·417 Views
  • Haya sasa tukutane Kilimanjaro
    #NBC
    Haya sasa tukutane Kilimanjaro #NBC
    Like
    Love
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·410 Views
  • From Kilimanjaro mountain
    From Kilimanjaro mountain
    0 Reacties ·0 aandelen ·229 Views
  • Nje na mlima Kilimanjaro bado tuna ishu nyingine ya kujivunia (chemka
    Nje na mlima Kilimanjaro bado tuna ishu nyingine ya kujivunia (chemka🏄😋🔥🏊
    Love
    Yay
    3
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·451 Views