- Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani, baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,..

- Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”

#paulswai
- Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani,馃槄 baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,.. - Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”馃槅 #paulswai
Like
Love
Haha
Yay
14
7 Comments 1 Shares 572 Views 393