Zungu
"Mbali na matokeo inaelezwa kuwa Master Gamondi alipoteza mvuto kwenye dressing room
Maelewano hafifu na viongozi wenzake, kingine kukubali Yanga kutokukaa kambini yani wachezaji kutokea makwao lilikuwa kosa kubwa ,Wenyeji wa mikocheni Masaki na Mbezi beach si ajabu kwao kukutana na wachezaji wa Yanga mtaani siku chache hata kabla ya mechi
Kwa mfano mechi kati ya Yanga na Tabora wachezaji wa Yanga waliingia kambini masaa 24 kabla ya mechi husika yani waliingia kambini saa 12 jioni ya tarehe 6 jumatano na mechi ni alhamisi ya tarehe 7 !!!
Kingine ni baadhi ya wachezaji muhimu vwa Yanga wanaoongoza kutoka na wadada wa mjini kuna kiungo wao mmoja mkabaji anatoka hapo nchi jirani kafa kaoza kwa dada yetu mmoja white, achilia mbali wale viungo wawili wa Ivor coast, na hivi hawana kambi ni mwendo wa kujiachia tu ,
Hakuna shaka Yanga wanaenda kuvunja utaratibu wa kutokuwa na kambi, kambi ni muhimu Sana kwa mazingira ya wachezaji wa Tanzania , ukiwaachia uhuru umeumia
Haya Matejoo tunalala sasa!!"

Zungu ✍️

Kingine ni baadhi ya wachezaji muhimu vwa Yanga wanaoongoza kutoka na wadada wa mjini 🤣 kuna kiungo wao mmoja mkabaji anatoka hapo nchi jirani kafa kaoza kwa dada yetu mmoja white, achilia mbali wale viungo wawili wa Ivor coast, na hivi hawana kambi ni mwendo wa kujiachia tu ,
Hakuna shaka Yanga wanaenda kuvunja utaratibu wa kutokuwa na kambi, kambi ni muhimu Sana kwa mazingira ya wachezaji wa Tanzania , ukiwaachia uhuru umeumia 🧐
Haya Matejoo tunalala sasa!!"
1 Comments
·85 Views