"Matokeo ni Yanga 1-3 Tabora United
Ila Kuna kitu nimekiona Cha tofauti na Timu zingine, baada ya mechi kumalizika mashabiki wa Yanga walisimama na kuwapigia makofi kuwapongeza wachezaji wao licha ya kuchezea kipigo Cha goli tatu, inauma asikwambie mtu ingekuwa ni mashabiki wa Simba wachezaji na benchi la ufundi na viongozi wangetafuta sehemu za kukimbilia, Upande wa viongozi ungesikia wachezaji wakitupiwa maneno ya lawama Live bila chenga na kutangaza kuhamia Burundi.
Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora" - Oscar Oscar,

Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora🙌" - Oscar Oscar,
·161 Views