Upgrade to Pro

"Nilimuacha Mwanaume kwasababu alikuwa ananijali sana, kila ninachotaka nilikuwa napewa kwa wakati, nikisema hiki sitaki anakubali bila kukataa, nikirudi usiku sana haniambii chochote. Najua alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa ananipenda alikuwa anaogopa kunikwaza"

"Ila kwa upande wangu nilijihisi kupoteza nafasi yangu kama mwanamke, nilikuwa mimi ndio kama Mwanaume nikaamua kuondoka nikarudi ķwa Beka, raha ya mwanaume asiwe amenyooka sana, vurugu kidogo akutingishe-tingishe kiasi, akukataze kwenda mahali fulani unune kidogo basi hapo inakuwa burudani tupu"- Happie Baby, Mama wa Watoto Mpenzi wa Beka Flevour.
"Nilimuacha Mwanaume kwasababu alikuwa ananijali sana, kila ninachotaka nilikuwa napewa kwa wakati, nikisema hiki sitaki anakubali bila kukataa, nikirudi usiku sana haniambii chochote. Najua alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa ananipenda alikuwa anaogopa kunikwaza" "Ila kwa upande wangu nilijihisi kupoteza nafasi yangu kama mwanamke, nilikuwa mimi ndio kama Mwanaume nikaamua kuondoka nikarudi ķwa Beka, raha ya mwanaume asiwe amenyooka sana, vurugu kidogo akutingishe-tingishe kiasi, akukataze kwenda mahali fulani unune kidogo basi hapo inakuwa burudani tupu"- Happie Baby, Mama wa Watoto Mpenzi wa Beka Flevour.
Love
1
1 Comments ·350 Views