Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora.
Amekuwa mwanamke ambae amemuondolea mumewe wasiwasi na kumpa mapenzi kemkem yenye tija. Amekuwa mwanamke ambae amemuonyesa kwamba wanawake wote hawako sawa.
Mwanamke huyu anafurahia na kujivunia nafasi yake kama msaidizi kwa mume wake. Na anaitendea haki nafasi yake, maana tokea afahamiane na mume wake, mume amepata kuongezeka kimaarifa, busara na kiuchumi.
Amekuwa chanzo kikubwa cha kumtia moyo mumewe katika kila hatua anayopiga, amefahamu ndoto na malengo ya mumewe, hivyo kwa utashi alionao ameweza kutoa msaada wa mawazo yenye tija, ambayo yameleta neema kwenye ndoa yao.
Amefahamu kuwa upendo wa mumewe kwake, unaweza kufanya mambo mengi yenye kuleta tija ndani ya ndoa. Pia upendo wake kwa mumewe umemfanya mumewe ajiamini na afanye shughuli zake kwa bidii. Amejitahidi kutokuwa kero kwa mumewe.
Ingawa kuna mikwaruzano ya hapa na pale ila amejitahidi kuelewa, na mara kwa mara amekuwa akijishusha ili kuepuka ugomvi zaidi. Anaelewa kwamba utii ni bora kuliko sadaka.
Zawadi kubwa ambayo mwanaume mwenye hekima na busara anaweza kuwa nayo ni kuwa na mwanamke pembeni yake ambae ni jasiri, msaidizi, anae tia moyo, anaempenda na ambae yuko tayari kuwa nae bega kwa bega katika hatua za kimaisha.
Busara yangu, "No man succeeds without a good woman behind him. It's either a MOTHER or WIFE. If it's both he is TWICE blessed indeed. A healthy and good wife is a mans best wealth."

·331 Views