Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako.
Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako.
Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu."

·111 Views