True Love for Guys
Men....!
Furaha ya kumpata mwanamke utakae dumu nae katika miasha yako iwe ndio kipaumbele chako. Usiwe kama mbwa koko au jogoo kwamba huwezi kutuliza kichwa chako kidogo sehemu moja, Usiwe na roho ngumu yakutojihurumia wewe pamoja na nafsi yako.
Kwamba una date na msichana, rafiki yake huyo msichana, dada yake huyo msichana and whatsoever. Wewe ni mwanaume mzigo na sio wa kutegemewa.
Tafuta mwanamke anaekupenda, mwanamke ambae ni mwaminifu, niamini mimi, ukimwonesha mapenzi ya kweli mwanamke na ukatimiza majukumu yako kama mwanaume, mwanamke huyo atadumu na wewe unless that lady is insane.
Sio sababu ya pesa, unabaki unalalamika wanawake wanapenda pesa, ila mfukoni mwako huna hata shilingi, na hijushighulishi kutafuta pesa na bado unafikiri Kuwa
mwanaume ni kusimamisha bwana mkubwa ndani ya boxer. Kuwa mwanaume ni majukumu na hayo mengine.
Ni jukumu lako kumhudumia mwanamke wako, na kama utapata mwanamke anaekupenda regardless ya ulivyo please don't be a bastard, APPRECIATE HER!!
Wanawake wengine na ushahidi upo huwahudumia wapenzi wao na kuwaghalamia kwa sababu ya mapenzi. Je hufikirii kuwa wanawake kama hawa, they deserve heaven instead of hell from you??
Please don't be unfortunate, BE LOYAL!
STAY BLESSED

·64 Views