"My brother, nguvu yako kama mwanaume haioneshwi kwenye stamina yako katika tendo la ndoa peke yake. Eti kwa sababu unamfikisha kileleni mara tano, ambapo kimsingi haimaanishi kwamba wewe ndio kidume cha mbegu.
Hakuna haja ya kumbilingisha sarakasi zote katika sex kitandani na kumfanya anene kwa lugha zisizofahamika chimbuko lake, ili umuoneshe kwamba wewe ni kidume haswa.
Mwanaume yeyote anaekula lishe sahihi, au wafanyao kazi ngumu kama kupasua mbao na kubeba zege nao wanaweza kufanya hivyo. Kama unataka kumuonesha wewe ni mwanaume haswa, mthamini, mjali, provide for her na uumpe attention kwa asilimia 100!
Kuwa mfalme wake na mfunike kwa upendo uliojawa uaminifu. Msikilize na ujivunie kuwa nae. Tambua potentiality yake aliyonao. Mlinde na umpende sana ili hata aweze kujiamini mbele za rafiki zake na kuwaambia kwamba "I'm in Love".
Wanawake wengi wanahofia hata kuwatambulisha wanaume zao kwa sababu hawana uhakika na kesho yao.
Achana na kasumba iliyojengeka miongoni mwa jamii zetu eti kwamba ukimpenda sana mwanamke anakufanya bwege, kwani wewe umeshikiliwa akili zako mpaka mwanamke akufanye bwege?
Unafikiri kwa nini tunaagizwa kuwapenda wake zetu na wakati huo huo tunahimizwa kuishi nao kwa akili. Mwanaume ukifanywa bwege kisa umependa unapaswa kucharazwa viboko mpaka huo ubwege ukutoke.
Wewe mpende na umuoneshe hilo, kuwa nae karibu anapolia hata anapocheka...tengeneza kumbukumbu bora pamoja nae..wanawake wanakumbukumbu ya haraka kwa sababu wanapenda kukumbuka yale mazuri uliyoyafanya.
Nguvu zako kama mwanaume hazipo katika sex pekee. In fact wanawake hawapendi sana sex...na anaweza akaipata popote pale, anachohitahi ni wewe tu kuwa karibu nae na kumjali sana kwa mambo mengi na hapo hata hiyo sex ataifurahia..!
*Can you be her man..!?*
"A really man would be ashamed should his deeds not match his words."
Share

·443 Views