Обновить до Про

Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa unaopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.... Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa za macho na ngono..... THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX...

Ndo maana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa mwanamke wa kawaidaaa sana, mwenye sura kama amepiga chafya ya ghafla, halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini... Yaani wanawake wote wakali aliotoka nao ndo kaishia hapa....!!?
Jibu ni kuwa Hajakosa kitu, amevumbua DHAHABU.

Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI....MSHAURI...MBEMBELEZAJI....MTIA MOYO...MWENYE MAONO na KHOFU YA MUNGU...
Sio mwanamke anajua club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plots zinauza Eneo fulani ili amshauri mmewe ku-acquire land.

Endelea kushangaa na mkalio wako kama Dansa wa baikoko, umetemwa na anaolewa bishost ambae hajawahi hata kuvaa kipedo pengine tangu azaliwe, anavaa charanga..

Kama unadhani makalio makubwa yenye kuweweseka mithili ya bendela kwenye upepo mkali na shepu ni dili sana nyakati hizi za ugumu wa maisha, nenda kaombe kazi kwenye baikoko....

Acha Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu vina Akili sana na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama mtazamaji ili upate vya kusimulia na kukosoa..
Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa unaopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.... Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa za macho na ngono..... THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX... Ndo maana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa mwanamke wa kawaidaaa sana, mwenye sura kama amepiga chafya ya ghafla, halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini... Yaani wanawake wote wakali aliotoka nao ndo kaishia hapa....!!? Jibu ni kuwa Hajakosa kitu, amevumbua DHAHABU. Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI....MSHAURI...MBEMBELEZAJI....MTIA MOYO...MWENYE MAONO na KHOFU YA MUNGU... Sio mwanamke anajua club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plots zinauza Eneo fulani ili amshauri mmewe ku-acquire land. Endelea kushangaa na mkalio wako kama Dansa wa baikoko, umetemwa na anaolewa bishost ambae hajawahi hata kuvaa kipedo pengine tangu azaliwe, anavaa charanga.. Kama unadhani makalio makubwa yenye kuweweseka mithili ya bendela kwenye upepo mkali na shepu ni dili sana nyakati hizi za ugumu wa maisha, nenda kaombe kazi kwenye baikoko.... Acha Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu vina Akili sana na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama mtazamaji ili upate vya kusimulia na kukosoa..🤣🤣
·541 Просмотры