“Ndio tunasikia wanaongea mengi kuhusu Uwanja wetu lakini sisi Azam FC, sio kila kitu lazima tujibu, Azam Complex sio tu Uwanja wa Azam FC bali umezifaa Timu nyingi za ndani na nje ya nchi hivyo hao wanaoongelea vibaya hawatusumbui.”
“Bora waende hata Uwanja upate nafasi ya kupumzika maana umetumika sana, Wengine mechi wanacheza Januari Pesa wanalipa Oktoba mpaka tusumbuane.”. - Hasheem Ibwe, Afisa Habari wa klabu ya Azam FC.

0 Commentaires
·0 Parts
·149 Vue