Usipoteze FURAHA kwa sababu ya UNAYOPITIA LEO ambayo HAYATADUMU. Iangalie KESHO YAKO NZURI na MSHUKURU MUNGU KWA KILE ULICHONACHO.
Kumbuka kuwa ukipoteza furaha:
1)Unapoteza Matumaini ya Kufanikiwa tena na unaishiwa nguvu za kusonga mbele.
2)Unapunguza uwezo wa ubongo wako kukutafutia majibu ya changamoto inayokukabili.
3)Huzuni huwa ina tabia ya kufukuza watu na kuwaweka mbali na wewe. Utashangaa watu kama wanaanza kukukwepa.
Kumbuka HATUFURAHI kwa sababu Kila Kitu kiko SAWA, tunafurahi kama njia ya kufanya kila Kitu KIWE SAWA iko sawa. FURAHA hutangulia kabla ya MATOKEO unayoyatafuta.

·168 Views