Upgrade to Pro

Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC.

"Kwann Gamooo kafukuzwa??!

Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo

Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi

Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa

Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi

Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye

Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

Dongo la Ahmed Ally kwa Uongozi wa klabu ya Yanga SC. "Kwann Gamooo kafukuzwa??! Gamooo amekua akipinga usajiliwa Wachezaji watatu ambao ni Demokrasia, Benteke na Bob Marley, Akisema kuwa hawana uwezo Viongozi wa Nyuma Mwiko hawajataka kukubali udhaifu kuwa walisajili kwa mihemko ya kuikomoa Simba baadala ya matakwa ya ufundi Gamooo haridhishwi na namna Aziz Ally anavyodekezwa klabuni, akisema inaleta makundi na Wachezaji wengine wanahisi kutengwa Gamooo aliwaambia wazi kuwa huwezi kumlea Mchezaji kama unalea Mke, Mwacheni kijana afanye kazi Gamoo alihoji kwanini Mganga anapewa heshima na Bonus kuliko yeye Kiufupi tuu Gamondi hajafukuzwa bali ametolewa kafara ili kuficha madhaifu ya viongozi wa nyuma mwiko" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
·260 Views