Saed Ramovic raia wa Ujerumani ametambulishwa rasmi na klabu ya Yanga SC kuwa kocha mpya wa timu hiyo baada ya Yanga SC masaaa machache kutangaza kuachana na Miguel Gamondi raia wa Argentina.

·91 Views