."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls
Ally Kamwe
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

1 Comments
·573 Views